Jinsi ya kujisaidia (2)

F Kwa watu wengi wanaohisi kujiua, kunaonekana kukosekana kwa njia nyingine. Nguvu ya hisia za kujiua hazifai kudharauliwa – ni za kweli na zenye nguvu na za mara moja. Hakuna tiba za kiuchawi.

Iwapo unahisi kujiua unahitaji kutokaa peke yako. Hatua muhimu san ani kuzungumza na mtu. Unafaa kutafuta msaada SASA. Bofya Hapa. .

Zungumza na familia au marafiki

Zungumza na mwana-befriender

Zungumza na daktari

Ikiwa unahitaji mtu wa kuongea naye haraka, bonyeza hapa